Akili za michepuko wanazijua wenyewe

Hongera Kwa kuishinda tamaa! Inaonekana Wewe siyo mhuni na huna uzoefu wa mambo hayo! Endelea kuwa na hofu ya Mungu hivyo hivyo Siku zote Hata Kwenye tasnia nyingine Za maisha! Usijaribu tena kirudia kutaka kuchepuka yasije yakakuta yakukukuta! Ulishamlipa lakini ? Au Kula na kulipa ndo mtindo wa kisasa!
 
Binaadam tuko tofauti sana, mimi sikukamilisha lililonipeleka kule ila hili la kutubu na kurudia dhambi hili karibua wanaadam wote tunafanya sana tuu, kujitangaza ndio jambo la ajabu
 
Ha ha haaaa.
Hanziri ndio nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote mmefanana akili...

wewe upo nae dhambini unaaga kwanza uende kuswali alafu ndiyo urudie dhambi...

Ndiyo maana nae akaamua kuomba hivyo...


cc: mahondaw
Kabisa

Huyo mwanamke alicheza na akili za jamaa!
....dawa ya moto ni moto......
 

Mleta uzi anaona zinaa kwake sio tatizo ila nguruwe ndio shida. Hii imekaa vipi?
 
Hahahaaaaa huyo mchep
 
Uyo alitaka usirudi tu . kuagiza haramu baada ya ibada ina maana alitaka ukirudi hupati maana hujaleta haramu. Wana akili wale hatari!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…