Akili za michepuko wanazijua wenyewe

Hongera Kwa kuishinda tamaa! Inaonekana Wewe siyo mhuni na huna uzoefu wa mambo hayo! Endelea kuwa na hofu ya Mungu hivyo hivyo Siku zote Hata Kwenye tasnia nyingine Za maisha! Usijaribu tena kirudia kutaka kuchepuka yasije yakakuta yakukukuta! Ulishamlipa lakini ? Au Kula na kulipa ndo mtindo wa kisasa!
 
Binaadam tuko tofauti sana, mimi sikukamilisha lililonipeleka kule ila hili la kutubu na kurudia dhambi hili karibua wanaadam wote tunafanya sana tuu, kujitangaza ndio jambo la ajabu
 
Kuna siku niliingiwa na tamaa ya kuchepuka, ibilisi nae akawa anataka kuwa mdhamini wa mpambano, lakini nafsi yangu haikuwa na amani kabisa kimioyo kinadunda dunda hivi...kila napopiga hatua kuzidi kuzama ndani katika mjengo ambao ndio nilikuwa naenda kutenda dhulma dhidi ya waifu aah nafsi inakataa alafu nikimuangalia huyo manzi Vitu vimo na nilikuwa nahitaji kukumbushia show flani za kiumeni...basi nikafika hadi ndani maandalizi yakawa fresh ibilisi kisha nitawala sasa ile nataka kuliamsha lidubwana, Adhana ikalia, jirani kulikuwa na msikiti, akili ikarudi fasta, nikamwambia ebana tughairishe zoezi kwanza nikaswali ili nikirudi kazikazi sasa nilipojua michepuko akili zao hazijatune vizuri akasema poa ila unaporudi niletee na kitimoto nusu na ndizi...nikaguma mh..yaani huyu mi namwambia naenda kufanya ibada ye aniagiza hanziri...Sikurudi
Ha ha haaaa.
Hanziri ndio nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote mmefanana akili...

wewe upo nae dhambini unaaga kwanza uende kuswali alafu ndiyo urudie dhambi...

Ndiyo maana nae akaamua kuomba hivyo...


cc: mahondaw
Kabisa

Huyo mwanamke alicheza na akili za jamaa!
....dawa ya moto ni moto......
 
.................akili ikarudi fasta, nikamwambia ebana tughairishe zoezi kwanza nikaswali ili nikirudi kazikazi sasa nilipojua michepuko akili zao hazijatune vizuri akasema poa ila unaporudi niletee na kitimoto nusu na ndizi...nikaguma mh..yaani huyu mi namwambia naenda kufanya ibada ye aniagiza hanziri...Sikurudi

Mleta uzi anaona zinaa kwake sio tatizo ila nguruwe ndio shida. Hii imekaa vipi?
 
Hahahaaaaa huyo mchep
Kuna siku niliingiwa na tamaa ya kuchepuka, ibilisi nae akawa anataka kuwa mdhamini wa mpambano, lakini nafsi yangu haikuwa na amani kabisa kimioyo kinadunda dunda hivi...kila napopiga hatua kuzidi kuzama ndani katika mjengo ambao ndio nilikuwa naenda kutenda dhulma dhidi ya waifu aah nafsi inakataa alafu nikimuangalia huyo manzi Vitu vimo na nilikuwa nahitaji kukumbushia show flani za kiumeni...basi nikafika hadi ndani maandalizi yakawa fresh ibilisi kisha nitawala sasa ile nataka kuliamsha lidubwana, Adhana ikalia, jirani kulikuwa na msikiti, akili ikarudi fasta, nikamwambia ebana tughairishe zoezi kwanza nikaswali ili nikirudi kazikazi sasa nilipojua michepuko akili zao hazijatune vizuri akasema poa ila unaporudi niletee na kitimoto nusu na ndizi...nikaguma mh..yaani huyu mi namwambia naenda kufanya ibada ye aniagiza hanziri...Sikurudi[/QUOTE


Hahahaaaaaaa umenikumbusha siku nimechepuka halafu ilikuwa ijumaa mchepuko akanambia hatujaswali leo mbona nguvu ziliniishia hapohapo. nikamwambia poa tufanye sikuingine basi.
 
Uyo alitaka usirudi tu . kuagiza haramu baada ya ibada ina maana alitaka ukirudi hupati maana hujaleta haramu. Wana akili wale hatari!!
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom