estlyjonathan
Member
- May 26, 2016
- 84
- 122
Kwema humu ndani,
Nimekuja kugundua mpenzi wangu hayuko sawa naamanisha kuna msimu akili yake inakuwa sawa kuna kipindi akili yake aiko sawa sijui tatizo nini? Mwenye kujua jamani mana hapa nilipo nimekuja kuambiwa na rafiki yake wa karibu huyu mtu nikianza kuishi nae si atakuja kuniulia ndani pindi nitakapo muudhi.
Mwenye kujua hili tatizo anisaidie ata kimawazo nitamsaidiaje.