Akili ya mtoto huyu

alohadm

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2013
Posts
360
Reaction score
157
Mtoto mmoja alimwambia mwalimu wake anataka avushwe darasa ikawa kama ifuatavyo!

Mtoto; mwalimu nataka univushe darasa niingie darasa la 3.

Mwalm; kwann?

Mtoto: nna akili nyingi.

Mwlm akamuuliza. kulikiwa na matofari 20 kwenye ndege likaanguka 1 unabak na mangapi?

Mtoto: hlo rahisi maana yanabaki 19

Mwlm: nipe hatua za kumweka tembo kwenye frige!

Mtoto: unafungua frige unamwingiza tembo na unafunga frige!!

Mwlm: nipe hatua za kumweka nyani kwenye frige

Mtoto: unafungua frige unamtoa tembo unamweka nyani unafunga frige!!

Mwlm: simba anasherekea siku yake ya kuzaliwa wanyama wote walihudhuria kasoro m1 ni nani huyo?na kwa nini

Mtoto:ni nyani kwasababu yupo kafungiwa kwenye frige.

Mwlm:bibi kizee kavuka mto salama wenye mamba na viboko,kwa nini alivuka salama

Mtoto:kwasababu wanyama wote walikuwa kwenye sherehe ya simba

Mwlm:ingawa bibi kizee alivuka salama mto alikuja kufa kwa nini

Mtoto: alikufa kwasababu aliangukiwa na tofari toka kwenye ndege:
 
Huyu aende tu Bungeni akashindane na Muhongo na mzee wa Msituni (Komba) na Ole Sendeku
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…