Akili mnemba ni tool tu...

AI ni sawa na wewe ni Mfalme, na AI ni kijana wako, sasa, unamuita AI unamwambia tekeleza kila maagizo utakayopewa na watu ninaowatawala, na mipaka yako ni hii na hii, kumbuka wewe ndio unaweka mipaka.

AI inachukua ulizo lako na kuchakata data zilizopo na kulinganisha na lipi litakuwa jibu la swali lako.

Ni kutokana na data zilizopo, ndio inafanya yale inafanya, haitengezi kitu kipya.

Ni ngumu AI kumreplace binadamu, ni kitu cha msaada.
 
Hili suala ukiwauliza wataalam wa programu na computer engeering wanaweza kutoa jibu sahihi. Robot ni kama software tu yenye physical shape. Hata JF kwa namna inavyooperate ni kama AI maana iko automated,

Mimi naona labda kama itokee developer wa hizo robot aamue mwenyewe kuharibu mambo, lakini maisha yoote ya powerful robot yapo stored kwa server, so anaweza kuzimwa anytime.

Unachosema pia ni kweli, lakini kila hatua ya maendeleo ya robot huwa inachunguzwa na wanapompatia data au anapojifunza, the way anavyofikiri taarifa zote zinapokelewa kwao wamiliki hivyo wanajua namna ya kufanya ili aendelee wanavyotaka wao

Sure upo kweli 💯
 
💯
 
Kwel kbs
 
AI ni akili ya kua trained by humans.. Sema watu hawajui how machine works..
 
Akili Mnemba au Akili unde ni zaidi ya tool. Hii kitu ni tishio la kweli kwa binadamu.
 
Kabisa umesema kweli mkuu,ipo kwa ajili ya kurahisisha kazi,tokana na kile ilichotakiwa ifanye,na haina utu, upendo na hekima,itabaki hivyo siku zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…