AKILI + AKILI

RASCO BOY

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
428
Reaction score
485
[emoji113] Habari za Asubuhi waungwana wakubwa shikamoni [emoji113]

[emoji117][emoji16] Madogo wa sikuizi ni kiboko, cheki huyu alichokifanya akiwa darasani na mwalimu wake[emoji23][emoji116][emoji818]

Muda wa kwenda nyumbani ulikuwa umefika, mwalimu
akasema: yeyote atakaye jibu swali langu lolote kwa usahìhi ataondoka asiye jibu atabaki.

Dogo mmoja akatupa begi nje ya dirisha.
Mwalimu akauliza nani katupa ilo begi nje?
Dogo akajibu fasta mimi. Akafungua mlango akaenda kwao.

neno moja kwa dogo

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]

Karibuni uji [emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya
 
aaache ushenzi awe serious na shule ....maisha yatamfanyaaa..
 
You have made my day
mwanza kwetu,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…