Biashara za kibongo noma sanaNgoja waje kukupa muongozo...
ZILE AKAUNTI UKIPEWA ZIKO ZA AINA MBILI KUNA OFFLINE NA ONLINE
KWAHIYO UKIPEWA YA ONLINE UNAWEZA INGIA ILA IKIWA YA OFFLINE UKAINGIA LAZIMQ ULE BAN, HUWA NI ZA MAGUMASHI UNAPEWA ZA WATU, UNACHUKUA GAMES FASTER KISHA UKITOKA NDO BASI TENA
Hapo solution ya muda mrefu ni kwenda kuijailbreak hiyo PS, Kwa sababu kama utaweka games kwa njia ya digital hazitodumu milele itafikia kipindi zitajilock au kupotea kabisa na kuweka digital games pia ni gharama siku hizi.Habari za jioni wana jamvi, natumai hamjambo. Nahitaji msaada wenu, nilinunua PS4 kwa ajili ya matumizi ya nyumbani lakini baada ya ku connect na Internet akaunti ime block, baada ya kurudi kwa muuzaji anasema akaunti zinazotumika ni za magumashi, kwamba ukiunga tu net inajilock hivyo natakiwa kulipia akaunti nyingine ambayo kimsingi nayo ni ujanja ujanja au ninunue CDs ambazo pia ghali. Mwenye uelewa na hayo mambo naomba msaada tafadhali.
Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
Mimi nina ps 4 games zake zipo offline.. je kuna siku zitajiblock na sijawah connect online na sina huo mpangoHapo solution ya muda mrefu ni kwenda kuijailbreak hiyo PS, Kwa sababu kama utaweka games kwa njia ya digital hazitodumu milele itafikia kipindi zitajilock au kupotea kabisa na kuweka digital games pia ni gharama siku hizi. PS4 na ps3 zishaanza kupungua makali ( ya gharama) option nzur naweza kukushawishi uijailbreak, town wanaweza fanya maximum kwa 100k hiyo bei ya kuanzia wanaweza shuka, baada ya hapo watakuwekea game kwa makubaliano ambapo unaweza weka game moja kwa 20k na wengne wanafanya kwa 15k kwa game. Pia kwenye kuchip game kuna njia ya offline na online zote znafanya kaz fresh tu. Kununua cd kama ww sio mtu wa kubadili mashine naona si vizur pia inaongeza mzigo na uchafu ndani. Hata mimi niliweka digital games tena offline ty na sikuconnect na net ila baada ya miez mi3 tu baadh ya games zimejilock kumchek mwenye kazi ananiambia kuna muda acc znaznguaga nimpe tena 100k kufidia games za zaman na kuniwekea FIFA 22 mpya, Nimepozi.
Katika hizo games kuna baadhi zina expire date, na kuna zengne hazina, sasa ikiwa ipo yenye expire date itajifunga tu baada ya muda bula hata kuconnectMimi nina ps 4 games zake zipo offline.. je kuna siku zitajiblock na sijawah connect online na sina huo mpango
Kwa mfano game gani ina expire date?Katika hizo games kuna baadhi zina expire date, na kuna zengne hazina, sasa ikiwa ipo yenye expire date itajifunga tu baada ya muda bula hata kuconnect
Hizo game nikizoziwekea tick, Ziliexpire zenyew yaan nilipoweka kwa njia ya digital zilikaa kwa miez kadhaa zikajiweka lock, So nkazifuta. Ila nilipowasiliana na jamaa aliniambia ni kwa nadra sana inatokeaga game kujiweka lock bila ya kuconnect na net.Kwa mfano game gani ina expire date?
Kwa digital ni kweli itafika muda game itakua haichezeki ila ulivyosema kuexpire nilikuelewa umemaanisha kwamba game inaisha muda wa kucheza kwa kila mtumiajiHizo game nikizoziwekea tick, Ziliexpire zenyew yaan nilipoweka kwa njia ya digital zilikaa kwa miez kadhaa zikajiweka lock, So nkazifuta. Ila nilipowasiliana na jamaa aliniambia ni kwa nadra sana inatokeaga game kujiweka lock bila ya kuconnect na net.
Hata mwanzo kipindi ananiwekea FIFA 21 pia ilijiweka lock siku hiyo hiyo ikabidi aishushe upya. Nadhani kujilock inategemeana na jamaa wa game aliipurchase vipi. Hayo ni maono yangu. Hii kitu inatokea kwenye digital games sijajua wanaojailbreakView attachment 2106256
Ndugu yangu wapi napata fundi mzuri wa ps3, madogo janja waliharibu kisha wakaipeleka kwa mduwanzi mmoja naona kama kazidisha ugonjwa.Kwa digital ni kweli itafika muda game itakua haichezeki ila ulivyosema kuexpire nilikuelewa umemaanisha kwamba game inaisha muda wa kucheza kwa kila mtumiaji
3 yako ni fat au slim?Ndugu yangu wapi napata fundi mzuri wa ps3, madogo janja waliharibu kisha wakaipeleka kwa mduwanzi mmoja naona kama kazidisha ugonjwa.
Mzigo uligoma kuwaka anadai hard disk ndio uchawi.
Fat3 yako ni fat au slim?
Kabla ya kuwaka taa yake kabla ya kua na rangi ya kijani inablink red kwanza au yellow au ishakua yellow tayari?
Ngoja niko nje ya mkoa nikigeuza nitakupa majibu kamili.Kabla ya kuwaka taa yake kabla ya kua na rangi ya kijani inablink red kwanza au yellow au ishakua yellow tayari?
Anhaa sawa. Ila Fat zina shida moja ya kujizima na hii ishu hua inaenda kwa hatua, huanza kujizima na kujiwasha kisha hufikia inablink taa nyekundu ndiyo inakuja ya kijani kisha inakuja inaanza kublink ya njano ndiyo inakuja ya kijani.Ngoja niko nje ya mkoa nikigeuza nitakupa majibu kamili.
Nashindwa kukupa maelezo kamili sababu, madogo waliiharibu kimya kimya, wakapeleka kwa fundi kimya kimya fundi akawa anawapiga Kiswahili, nilipogundua nikaenda kuchukua sikuikuitest