Sasa mkuu, hilo dogo lako lenyewe halina ambition yeyote hadi sisi wanaJF tulichagulie future?
Hakuna chochote linachopenda maishani?
Hata kama, hujatuwekea matokeo yake, tutajuaje sasa kama ana D ya fizi na hesabu ili aende uhandisi au tutajuaje kama kafaulu bailoji na kemia ili aende ufamasia?
Mtu akiuliza vitu vya namna hii huwa ninashangaa sana!