Akaangwe tu usiweke mchuzi!

Akaangwe tu usiweke mchuzi!

shabiki

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
965
Reaction score
896
Njemba moja inayopenda chakula kuliko maelezo ikatembelea ukweni siku moja.Sasa wakati imekaa kibarazani inapiga soga na Mkwe wake.Akatokea mama mkwe akaanza kumkimbiza kuku mmoja mkubwa.aliposhindwa akamwita mjukuu wake Andunje aje amsaidie.Sasa andunje alipomkamata tu yule kuku,Njemba ikaropoka kwa sauti;akaangwe tu,usiweke mchuzi.kusema hivyo mama mkwe katoka jikoni na mwiko anafoka;Anataga huyu,mwanaume mrafi wewe sijapata kuona huna haya loh!em andunje mpeleke bandani!
 
Jitu zima linatamani kuku wa ukweni aibu sana
 
Back
Top Bottom