Mshahara plzz😛
hili tangazo ni kama yale yanayobandikwa kwenye vituo vya dalala..
Game super market wametoa
nafasi za kazi nafasi ya manager 2, mwasibu 2 , supervisor 2 , wauzaji
wa kawaida 30 , managers , mwasibu na supervisor vigezo ni diploma au
degree nafasi zilizobaki vigezo ni kidato cha nne, wanapatikana mlimani
city, quality center benjamini p.o box 255575
Barua ya kuomba kazi, barua ya mtendaji wa mtaa bila kusahau wadhamini
3
kweli kabisa na wale huwa ni matapeli.
adress ya game ni 23113 na sio hiyo aliyoweka huyo. mdau jamani muwe makini na hizo kazi.
daaah alafu kweli maana na mimi nimeona address tofauti na za game sa cjui jamaa anakusudio gani