Ajira

TIKEI

Member
Joined
Jul 16, 2013
Posts
62
Reaction score
6
Habari za jioni wana JF, natafuta nafasi ya kazi kwa dada ajili ya dada yangu. Elimu darasa la saba. kazi yoyote itakayoweza mpa kipato kwa ajili ya familia yake na watoto. Anakaa Mabibo karibu na shule ya Loyola
 
Ana ujuzi wowote?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Anajishughulisha na upikaji wa vitafunwa, na mwez uliopita alipata chance ya kumshikia mtu kisafisha ofisi mjin ila mwenye kaz karud yupo tu na biashara zake za kila siku
 
Atakubali km atakuwa anatokea kwake kwa kuwa naye ana mume na watoto wa wili. Mume wake nae ni day worker. Anafunga funga nyaya kwenye madisko
..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…