Siku hizi hakuna cha moja kwa moja. Waliacha huo mchezo, yaani tangia wizara ya kilimo ikabidhi mamlaka ya kuajili kwa PSRS imekuwa majanga ndugu yangu. Tafuta utapata job kwa private sector, lakini kwa serikali utapiga written interview nyingi kadri ya uchumi wako pia km huna bahati utaishia kumaliza pesa yako ktk kwenda kufanya usaili DAR, either kigamboni, DUCE, Maktaba, etc. Kila laheri mm mwenzio (Agric Econ & Agrib) nazunguka na NGO's maisha yanasonga. Nadharau hata nikiona tangazo linalonihusu sana