Acheni ungese....hivi hamjui kuwa kuna watu wamesoma PSPA(political science and public admin),sociology, Law, economics, finace, etc na hawajawahi kulalamika kama nyie mnavyotia aibu? kulalamika kila dk! Kwa hiyo kusomea ualimu ni kujihakikishia ajira sio? Ndio maana mnanyanyaswa kila sehemu katika nchi hii, maana mnajishushia thamani nyie wenyewe!
Sasa ngoja hizo ajira zitoke...muone mtakavyo nyanyaswa na Ma.DEO, na wakuu wa shule huko muendako...then mje kulia lia tena hapa!

Acheni hizo nyie walimu.......hivi hamjui kuwa kuna watu wamesoma PSPA(political science and public admin),sociology, Law, economics, finace, etc na hawajawahi kulalamika kama nyie mnavyotia aibu? kulalamika kila dk! Kwa hiyo kusomea ualimu ni kujihakikishia ajira sio? Ndio maana mnanyanyaswa kila sehemu katika nchi hii, maana mnajishushia thamani nyie wenyewe!

Hujitambui! siku ukijitambua utakuja kuelewa jamaa alichoeleza,
wakuu majina ya shahada tayari yapo hewani, mwenye link ya majina ya stashhada basi atupe madogo wanasumbua kupiga simu......