Ajira za walimu

Ajira za walimu

Teacherrrrsss u are too much now, si msubiri jameni
sa kama nyie mnahaha hivi waliosoma zile kozi za kutafuta kazi miaka 5 wasemeje?
zikitoka mtaambiwa tu
 
Swali lako uliza ukiona kimya had tar 20, sahz umewah sana kuilaumu serikali sikivu ya ccm kumbuka last year post zilitoka tar 14 feb.

Mh. KASSIM Majaliwa angekuja hadharani na kubatirisha kauli yake aliyo itoa kwamba ajira za ualimu zingetoka Januari mwaka huu. Januari imepita na sasa Feb ina yoyoma kuisha bila jibu mbadala!! Only in Tanzania, go in China you shall se how they deal with such people.
 
Kaazi kweli kweli. Ndiyo Tz chini Kikwete wa ccm hii. Hivi waalimu watarajiwa hamjapata kusikia kuwa serikali imefirisika hivyo wanasubiria kukopesheka? Kuweni wapole,SIKU ZOTE MCHUMA JANGA HULA NA WAKWAO,Hongereni kwa kumchagua mzee dhaifu na matunda yake ndiyo haya.
 
Teacherrrrsss u are too much now, si msubiri jameni
sa kama nyie mnahaha hivi waliosoma zile kozi za kutafuta kazi miaka 5 wasemeje?
zikitoka mtaambiwa tu

waliposoma kozi za kuhaha miaka 5 njiani hawakulijua hilo.Acha walimu wafanye watakavyo.
 
Back
Top Bottom