TunamletaaNileteeeni Gwajimaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaàaaaaaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaàaaaaaaaaaàaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Msemaji wa tamisemiAjira hizi zipo lakini wengi watapata wa diploma na degree wenye mikopo na pia science, lakini arts wasahau kbs
Watu wasifanye makosa 28october, tumechoka hii haliKama vijana wenyewe ndio design hii bora waendelee kusoteshwa mitaani.
Mtu umesota kitaa miaka 3-5 kisha uajiriwe leo kwasababu ya uchaguzi ndio iwe sababu ya kumpa kura Magufuli!!!
Kuna Mzee mmoja kazini juzi alisema kama Magufuli akiongeza mshahara October basi tutamwagia kura mpaka ashangae. Aliniboa sana, moyoni nikasema kwa upumbavu huu ni heri Magufuli asituongezee mshahara tu .
Laki na uchafu boss.Nas
Naskia application zilifikia 80,000
Sugu nisgueeee!Nileteeeni Gwajimaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaàaaaaaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaàaaaaaaaaaàaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
daaah siasa mbaya sanaSugu nisgueeee!
Nileteeni tulia nitatulia.
no evidence napia your expln still too shallow azina connection na title,abv all watoe wasitoe maisha lazima yaendelee, so don't fret yourself love what you've atakama kidogo keep doing it , what matters kuwa creative, work hard pray harder...kama ajira itatokea its ok....pia kumbuka politician they're job seekers just like us.Nikiwa mtaani,
Katika muendelezo wa kampeni huku wagombea wakijinadi kwa sera zao mgombea mmoja aliamua kutangaza ajira za walimu kama ilivotokea.
Baada ya hapo maombi yalifanyika huku watu wakizisubiri kwa hamu hzo ajira na kadili sku zinavoenda vijana wana uchu na ajira hzo lakini wanaona kama wanaingizwa cha kike.
Vijana hao wameenda mbali na kudai kuwa mheshimiwa huyo asipozitoa kabla ya Uchaguzi basi anaweza kuwaacha hewani au zikaenda mpaka mwakani kwa madai atakuwa anasema (msiwe na wasiwasi m ndo rahisi).
Mipango ya vijana hao wanasema ikifika 20 Oktoba mzee katulia n bora kumfyekelea mbali kwan wanaona anawazunguka na kuwachosha.
M kama mpita njia nimewaambia nyie vijana emu kuwen waungwana maana rais wetu ni mcha Mungu na mwaminifu.
Vijana nawaasa tutulie kwenye kipindi hiki cha kampain tupate vzuri sera za wagombea.
Generally, mtoa mada umefeli in all aspects.Nikiwa mtaani,

Mmmh out of point,my footno evidence napia your expln still too shallow azina connection na title,abv all watoe wasitoe maisha lazima yaendelee, so don't fret yourself love what you've atakama kidogo keep doing it , what matters kuwa creative, work hard pray harder...kama ajira itatokea its ok....pia kumbuka politician they're job seekers just like us.
Mkuu kwa hiki kimombo interview hautoboi.no evidence napia your expln still too shallow azina connection na title,abv all watoe wasitoe maisha lazima yaendelee, so don't fret yourself love what you've atakama kidogo keep doing it , what matters kuwa creative, work hard pray harder...kama ajira itatokea its ok....pia kumbuka politician they're job seekers just like us.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu kwa hiki kimombo interview hautoboi.
Akili za usikuIshu ipo hivi, Bwana mkubwa anatamani kutoa hizo ajira kabla ya uchaguzi lakini pia anasita kutoa ajira hizo kabla ya uchaguzi maana anapiga hesabu itakuwaje akazitoa na baada ya hapo akapigwa chini?