Naskia application zilifikia 80,000Ajira Atatoa, hata msiwe na hofu. Ila kama watanzania vijana ni kupigania muendelezo wa Ajira hizi. Walau selikari itayo ingia madarakani iwe inatoa walau ajiara 20,000 per year.
uwe na adabuNitakuwa wa mwisho kuamini kweli kuwa zile ni ajira
Watu wamekesha usiku wa manane ku upload vyet, gharama, toa macho sana,
Huyu mzee ni zaidi ya shetani kwa kweli
Tunazisubiria sana aiseeeAjira Atatoa, hata msiwe na hofu. Ila kama watanzania vijana ni kupigania muendelezo wa Ajira hizi. Walau selikari itayo ingia madarakani iwe inatoa walau ajiara 20,000 per year.
Ni bora kumchagua tundu lissu tu, ajira zile ni za uongoNikiwa mtaani,
Katika muendelezo wa kampeni huku wagombea wakijinadi kwa sera zao mgombea mmoja aliamua kutangaza ajira za walimu kama ilivotokea.
Baada ya hapo maombi yalifanyika huku watu wakizisubiri kwa hamu hzo ajira na kadili sku zinavoenda vijana wana uchu na ajira hzo lakini wanaona kama wanaingizwa cha kike.
Vijana hao wameenda mbali na kudai kuwa mheshimiwa huyo asipozitoa kabla ya Uchaguzi basi anaweza kuwaacha hewani au zikaenda mpaka mwakani kwa madai atakuwa anasema (msiwe na wasiwasi m ndo rahisi).
Mipango ya vijana hao wanasema ikifika 20 Oktoba mzee katulia n bora kumfyekelea mbali kwan wanaona anawazunguka na kuwachosha.
M kama mpita njia nimewaambia nyie vijana emu kuwen waungwana maana rais wetu ni mcha Mungu na mwaminifu.
Vijana nawaasa tutulie kwenye kipindi hiki cha kampain tupate vzuri sera za wagombea.
Nitakuwa wa mwisho kuamini kweli kuwa zile ni ajira
Watu wamekesha usiku wa manane ku upload vyet, gharama, toa macho sana,
Huyu mzee ni zaidi ya shetani kwa kweli
Kama watampa kura kwa sababu ya huto tu ajira tuwili tutatu basi hao waajiriwa watakuwa hawajitambuiNikiwa mtaani,