mheshimiwa waziri amesema ikama ya walimu wa masomo ya sanaa inatosha na kuna ziada watakachofanya ni kuhamisha walimu kutoka walikolundikana mpaka kwenye upungufu.Swali langu mbona hawajatupa takwimu ya walimu waliopo kwa kila somo la sanaa na mahitazji na hiyo ziada maana isije ikawa ziada ipo kumbe kwenye somo moja au mawili tu