Rex kapula
Member
- Jul 15, 2022
- 5
- 4
Habari wanajukwaa,
Mimi ni kijana niliyeomba ajira utumishi kupitia Dirisha la ajira za utumishi (Ajira portal). Mpaka sijajua ni lini watatoa short list yao.
Lakini cha kushangaza kuingia kwenye wavuti ya taasisi niliyoomba (MoCu) nimeona majina ya watu kuitwa kwenye interview. Na ukiangalia ni post ile ile niliyoomba.
Ukirudi kwenye dirisha la ajira wanasisitiza kuwa endapo hutachaguliwa utajulishwa kupitia email na kupitia akaunt yako ya maombi, hivyo hivyo ukifaulu basi utajulishwa kupitia njia hizo kama nilivyotaja hapo juu.
Je, huo ndio mtindo wao wa utoaji ajira? Au ni kucheza na akili za watu tu?
Msaada kwa anayejua!!