Ajira za TPDC

Kitotonya

Senior Member
Joined
Dec 9, 2011
Posts
188
Reaction score
60
Hivi zile ajira za tpdc mpaka leo hawajaita watu, au ilikua ni ushahidi tu
 
only shortlisted candidates will b contacted
 
Hata hao waliokua contacted tungepata habarizao bwana

kweli kaka Kitotonya aisee! kuna dada flani kipindi kilichopita alikua anakuja na updates za uhakika ila now kapotea
 
Last edited by a moderator:
Hata hao waliokua contacted tungepata habarizao bwana
Ni kweli kabisa, mi kila nikienda naambiwa wataweka kwenye mtandao, kila siku nachek kwenye mtandao wao ila nakuta majanga! sasa sijua kama kuna mtandao mwingine wanautumia au la!
 
Ni kweli kabisa, mi kila nikienda naambiwa wataweka kwenye mtandao, kila siku nachek kwenye mtandao wao ila nakuta majanga! sasa sijua kama kuna mtandao mwingine wanautumia au la!

mkuu sybrother ebu ukienda tena kaza hadi kieleweke kaka. waambie nimetumwa na magreat thinkers. wana hasira.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…