Ni kweli kabisa, mi kila nikienda naambiwa wataweka kwenye mtandao, kila siku nachek kwenye mtandao wao ila nakuta majanga! sasa sijua kama kuna mtandao mwingine wanautumia au la!Hata hao waliokua contacted tungepata habarizao bwana
Ni kweli kabisa, mi kila nikienda naambiwa wataweka kwenye mtandao, kila siku nachek kwenye mtandao wao ila nakuta majanga! sasa sijua kama kuna mtandao mwingine wanautumia au la!