mm najua watu wanafanya kazi kwenye huo mgodi tayari labda production yao sio kubwa sana ndo hawaajili sana coz kuna my friend graduate mechanical engineer anapiga mzigo since july up t now vuta subira kaka pesa yao ni ndefu sana kwa hiyo unaweza usione hata matangazo yao