Uchaguzi Mkuu ndugu,yale ma T.shirt,makofia,madela na skafu.Tunaisoma namba sasa.
Wadau naomba,msaada hiv unaweza kuajiriwa na,serikali halafu msilipww mshahara kwa miez 4 na hampew taarifa yoyte kwa nini hamlipwi ila mnaambiwa mkija,anza kulipwa hamtapewa ariers za miez ilopita naomba msaada mana,tunateseka huku
Uzembe wa Ma HR mnasingizia uchaguzi mkuu.
Itakua uhamiaji wewe maana nao hawajawalipa maafisa wao wanahaha tu mitaani yaani utawaonea huruma
"ariers" za miez ilopita