D DiceKb New Member Joined Feb 12, 2014 Posts 3 Reaction score 0 Feb 21, 2014 #1 Wadau naomba mwenye taarifa na kazi za NHIF anijuze kama tayari wameita watu kwa ajili ya Interview. Tafadhali.
Wadau naomba mwenye taarifa na kazi za NHIF anijuze kama tayari wameita watu kwa ajili ya Interview. Tafadhali.
G GIUSSEPE Senior Member Joined May 12, 2011 Posts 126 Reaction score 34 Feb 21, 2014 #2 DiceKb said: Wadau naomba mwenye taarifa na kazi za NHIF anijuze kama tayari wameita watu kwa ajili ya Interview. Tafadhali. Click to expand... bado mkuu..
DiceKb said: Wadau naomba mwenye taarifa na kazi za NHIF anijuze kama tayari wameita watu kwa ajili ya Interview. Tafadhali. Click to expand... bado mkuu..
yungsteval JF-Expert Member Joined Feb 21, 2014 Posts 309 Reaction score 109 Feb 22, 2014 #3 Wakuu habari. Wipi habari za NHIF kuita watu? Maana miezi inazidi kukatika tu au ndo kiini macho?
M muungano05 New Member Joined Feb 20, 2014 Posts 2 Reaction score 3 Feb 22, 2014 #4 ha ha ha ha,we subir bhana,mi kuna mtu nimemuuliza kanambia bado hawajaita,na wakiita wanaita woooooteeeee mliotuma,vp utachomoka hapo
ha ha ha ha,we subir bhana,mi kuna mtu nimemuuliza kanambia bado hawajaita,na wakiita wanaita woooooteeeee mliotuma,vp utachomoka hapo
yungsteval JF-Expert Member Joined Feb 21, 2014 Posts 309 Reaction score 109 Feb 22, 2014 #5 muungano05 said: ha ha ha ha,we subir bhana,mi kuna mtu nimemuuliza kanambia bado hawajaita,na wakiita wanaita woooooteeeee mliotuma,vp utachomoka hapo Click to expand... Yote heri tu mkuu....tusubiri tuone itakuwaje
muungano05 said: ha ha ha ha,we subir bhana,mi kuna mtu nimemuuliza kanambia bado hawajaita,na wakiita wanaita woooooteeeee mliotuma,vp utachomoka hapo Click to expand... Yote heri tu mkuu....tusubiri tuone itakuwaje
G gracious86 JF-Expert Member Joined Mar 25, 2011 Posts 437 Reaction score 55 Feb 22, 2014 #7 yungsteval said: Yote heri tu mkuu....tusubiri tuone itakuwaje Click to expand... 4sure mkuu!
eddocreater Member Joined Aug 31, 2012 Posts 65 Reaction score 18 Feb 23, 2014 #8 Mh! Aisee usijekuta watu washaanza mzigo siku mingi tu!!!