Ajira za mkataba Halmashauri ya Arusha zikoje?

svoca

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2014
Posts
373
Reaction score
70
Jamani tueleweshane nimeona wametangaza hzo ajira kwa mf.mtendaji wa kata kwa mkataba sa sijaelewa ukipata ukafanya na wakat huo huo ukapata kazi kwingine unaruhusiwa kutoka?
 
Hakuna kazi ambyo huruhusiwi kuacha hata ikawa unaacha kabla ya mkataba kwisha
 
Mkataba ni miezi 3 mitatu unaweza kuacha Kwa utaratibu ulianishwa ktk mkataba.
 
Jamani tueleweshane nimeona wametangaza hzo ajira kwa mf.mtendaji wa kata kwa mkataba sa sijaelewa ukipata ukafanya na wakat huo huo ukapata kazi kwingine unaruhusiwa kutoka?

hizo kazi...zikoje..heb tujulishe bas
 
Back
Top Bottom