Ajira za kumwaga light dream organizatiom

Ajira za kumwaga light dream organizatiom

totoh

Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
6
Reaction score
2
jaman huku shinyanga nimekuta kuna NGO inaitwa light dream org(lido) imetangaza ajira 260 wasim
amiz wa wilaya,kata,wa mitaa tu wanaitajika 200.fomu wanasema ni bure lkn ukifika fomu imeandikwa inaitajika 2000 ya usajil na 4000 ya kitambulisho jaman kunamtu anaijua hii NGO na shart ulipe pesa ndo ujaze fomu.
 
watu wanaibiwa kama ndo hivyo zikatwe kwenye garama za kawaida za mshahara wao.
 
Lipa fasta utakosa kazi! Wezako wamesharipa hao zimebaki kama nafas 30!
 
Lipa fasta utakosa kazi! Wezako wamesharipa hao zimebaki kama nafas 30!

wewe ni muhusika?na kama ndio unawahakikishiaje wat kwamba si utapel coz matapel wamekua wengi
 
Utapeli huo, mi ajira ya kutoa pesa hapana, sitoi

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom