EAST DIRECT
Member
- Dec 2, 2017
- 10
- 5
Tangazo lako halijakamilika, mpo wapi na mnajihusisha na nini! Maana niliwahi kwenda sehemu kwa kufuata tangazo kama hili, kuiona tu ofisi na mtu anayetakiwa kuni asses nilitaman kupga yowe!
Lazimaaa ni kuuza vibeseni vile vya kunawia mikonooo kabda ya kulaaaKuhuza Vyomboo
Mimi nilikutana na wauza mabeseni [emoji23][emoji23] hapo nimetoka kuumwa malaria nikifikiria kutembeza mabeseni mbona nilichokaaaTangazo lako halijakamilika, mpo wapi na mnajihusisha na nini! Maana niliwahi kwenda sehemu kwa kufuata tangazo kama hili, kuiona tu ofisi na mtu anayetakiwa kuni asses nilitaman kupga yowe!
Lazimaaa ni kuuza vibeseni vile vya kunawia mikonooo kabda ya kulaaa
Mkuu hapo kutembeza chupa za chai hamna kingineAjira za kazi?
Anyway ungetoa utangulizi wa kampuni yenu inajishughulisha na nini ndio matangazo ya kazi huenda hivyo pia wajibu na majukumu ya kila kazi ili mtu ajue kazi anayoomba inamfaa au haimfai
Yaan acha kabsa nilienda nipo smart sana , walisema mshahara kuanzia 350k- 450k, nafka assessor kavaa malapa ya buku mda huo nilishatoa elf3 kwa ajil ya fomu, nmelipa nauli ya daladala, nmepigilia pamba za kiofis halafu daah hahahaha , naambiwa nikatembeze vibesen na chupa za chai[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ungepiga tu mkuu nafsi yako itulie
Na watakuwa wenyewe tu Hawa, nilienda nikajua kazi ya maanakwel na matangazo yao ya mbwembwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Hahaaaa hata Mimi ni hao nilikutana nao na jua la dar nikasema aaah wapMimi nilikutana na wauza mabeseni [emoji23][emoji23] hapo nimetoka kuumwa malaria nikifikiria kutembeza mabeseni mbona nilichokaaa