Kila siku wanaajiriwa ila mmoja mmoja halmashauri na taasisi za serikali. Hizi sekta haziajiri kwa mkupuo kama afya na kilimo sababu. Mfano kila halmashauri ikipewa nafasi 1 ya afisa kilimo zimeisha. Hapo bado kuna shahada, stashahada na astashahada. Mf. Maafisa watendaji ni watu wa kada ya sheria mara nyingi na zimetangazwa nyingi leo