CHW wakiajiriwa serikalini form four imepata suluhu wakati digrii inasaga menoTamisemi wamesema wanatarajia kuajiri watumishi wa afya ngazi ya jamii siku sio nyingi...
Wenye vigezo tunzeni nyeti...
Lakini pia hii ni dalili nzuri kwa watumishi wengine wote wa afya ajira zipo njiani wale maclinical officer msisahu kua na leseni valid..View attachment 2781064
Lakini hao nao wapo mtaani wemgi sanaaa...wakati wanaweza wakafanya kazi za nurse kwa kiasi fulani..CHW wakiajiriwa serikalini form four imepata suluhu wakati digrii inasaga meno
Scarcity of those opportunity is independent case. Ukiona wanalalama registered nurse ujue hali si shwari. Kama watafika mpaka kwa CHW ujue form four ndo wanufaika wakubwa wa hizo nafasLakini hao nao wapo mtaani wemgi sanaaa...wakati wanaweza wakafanya kazi za nurse kwa kiasi fulani..
Mnamaanisha Mwenye cheti Cha Form four ndo atapata hizo nafasi au aliyemaliza form four akasomea hizo fani za afya ya jamii?Scarcity of those opportunity is independent case. Ukiona wanalalama registered nurse ujue hali si shwari. Kama watafika mpaka kwa CHW ujue form four ndo wanufaika wakubwa wa hizo nafas
Fom4 + faniMnamaanisha Mwenye cheti Cha Form four ndo atapata hizo nafasi au aliyemaliza form four akasomea hizo fani za afya ya jamii?
kwa hiyo wale wahudumu wa afya ngazi ya kijiji ambao hawajafika hata form four watapigwa chini?Fom4 + fani
Ni wahudumu gani hao, na wamesoma fan gani kwenye mitaala ya Afya???kwa hiyo wale wahudumu wa afya ngazi ya kijiji ambao hawajafika hata form four watapigwa chini?
Sisi huku vijijin kwetu kuna wahudumu ambao wanawasidia akina mama siku za kliniki na shughuli zote zaote za afya kama kugawa neti nk... wengine hawajamaliza hata form four.Ni wahudumu gani hao, na wamesoma fan gani kwenye mitaala ya Afya???
Hao hawahusiki...Sisi huku vijijin kwetu kuna wahudumu ambao wanawasidia akina mama siku za kliniki na shughuli zote zaote za afya kama kugawa neti nk... wengine hawajamaliza hata form four.
nakazia "wenye vigezo tunzeni nyeti"Tamisemi wamesema wanatarajia kuajiri watumishi wa afya ngazi ya jamii siku sio nyingi...
Wenye vigezo tunzeni nyeti...
Lakini pia hii ni dalili nzuri kwa watumishi wengine wote wa afya ajira zipo njiani wale maclinical officer msisahu kua na leseni valid..View attachment 2781064
Wataalam wa afya ngazi ya jamii sio public health expert, ni community health worker!. Hata darasa la saba ndo kazi zao hizoMnamaanisha Mwenye cheti Cha Form four ndo atapata hizo nafasi au aliyemaliza form four akasomea hizo fani za afya ya jamii?
Kwa maana hiyo kwenye huo mradi hata form four watafaa sio?Wataalam wa afya ngazi ya jamii sio public health expert, ni community health worker!. Hata darasa la saba ndo kazi zao hizo
Kama wamesema utabeba mpaka community health worker Yani CHW hawa wanakuaga wengine wahanga wa Magonjwa hayohayo kama wagonjwa wa ukimwi, wagonjwa wa tb kwa Magonjwa husika. Wanafanyaga kazi nzuri sana za ufatiliaji. Hadi darasa la saba wanafanyaga hiziKwa maana hiyo kwenye huo mradi hata form four watafaa sio?