Ajira ya vodacom service desk

watu kama van mab wapo wengi sana humu, wanatafuta wachumba sometimes kwa kigezo cha kazi
any way, yote maisha, wasipotapeliwa hapa, watapigwa kwingine...
utapeli wakati mwingine hauzuiliki maana upo kwa kila njia...
Kwa wasiojitambua kama wewe
 
Wengi wenu hamjamuelewa mleta mada na kumshutumu kuwa ni tapeli. Iko hivi, fikiria TBL wanamuuzia bia mwenye bar. Mwenye bar anatangaza nafasi ya waiter wa kuuza bia za TBL, Je utapelekaje maombi TBL badala ya kwa mwenye bar?
Huyu mleta mada anaonekana ni wakala wa VODA na hivyo anatafuta mfanyakazi kwa ajili ya duka lake la kutoa huduma za bidhaa za voda. So maombi hayawezi kwenda kwa HR wa Voda.
 
Sihitaji kusaidia mtu.. na sina uwezo wa kusaidia zaidi ya kutoa Ajira.. na sio lazima uwe wewe au nduguyo
 
Umenena mkuu..
 
Tatizo la waswahili kujitia kujua kila kitu..hata uwe na PhD,huwezi jua kila kitu.. na ukiuliza hutaonekaza zuzu
 
Usichokijua ni vyema ukauliza.. nilitangaza hapa nafasi kama hii December .. Binti alipatikana yuko VODACOM desks ya mbezi kwa msuguri anapiga kazi..
Unaweza fatilia hilo..
Ubàrikiwe kama ni kweli..
 
mkuu nimekupm pls naomba unijibu huko pls
 
Watu hawajaelewa na tangazo na wanajifanya wajuaji pole mtoa mada ila walikuita tapeli hakuna hata mmoja aliye elewa ila wamekurupuka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…