Unajuaje labda ni team leader au anataka kufungua ofisi yake.Wewe ni tapeli. Kampuni kama Voda haiwezi kutangaza kazi kizembe namna hio. Na kwann utafutwe wewe Kwanza badala ya kutuma maombi kiofisi?
Utata unakuja hapo alipoweka contact no. Hawa ndio matapeli wenyewe, kwenye vodacom portal yao sijaona announcement yoyote ile kuhusiana na inshu ya jamaaUnajuaje labda ni team leader au anataka kufungua ofisi yake.
wasio na kazi wamemtafuta... wabishi kama hawa huwa wameshiba, hawana shida!Wewe ni tapeli. Kampuni kama Voda haiwezi kutangaza kazi kizembe namna hio. Na kwann utafutwe wewe Kwanza badala ya kutuma maombi kiofisi?
Dada zetu wawe makini. Kesi kama hizi zipo nyingi siku hizi.wasio na kazi wamemtafuta... wabishi kama hawa huwa wameshiba, hawana shida!
kama ni tapeli ataripotiwa tu humu muda si mrefu...
watu kama van mab wapo wengi sana humu, wanatafuta wachumba sometimes kwa kigezo cha kaziDada zetu wawe makini. Kesi kama hizi zipo nyingi siku hizi.
Acha utapeli wako ww umeona wap kampuni km iyo ikatangaza kaz kw staili iyo..hawa ndio wale wale watawaambia umefuzu ila tuma 20000tsh hapa tumpoze boss ukishatuma tu imekula kwako hamna cha kaz wala nn...nakushauri mkuu katafute kaz ya halali ufanye upate hela ushafel ww..Anahitajika mtu wa kufanya kazi VODACOM service desk (vodashop ndogo)..mombasa (Dar)
Kazi..
.Awe na uwezo wa kutafuta soko la simu na voucher za kuuza Jumla.
.line swap
.kusajili line na kazi zingine
Sifa..
.Awe msichana , umri 18 -25
.Anayeishi mombasa atapewa kipaumbele
.Ajue kutumia computer vizuri.
.Awe na uwezo wa kujieleza
Mwenye sifa tu, awasiliane na 0715407508
Dada zetu wawe makini. Kesi kama hizi zipo nyingi siku hizi.wasio na kazi wamemtafuta... wabishi kama hawa huwa wameshiba, hawana shida!
kama ni tapeli ataripotiwa tu humu muda si mrefu...
Bora na wewe useme. Inakera sana kurudishana nyuma.Acha utapeli wako ww umeona wap kampuni km iyo ikatangaza kaz kw staili iyo..hawa ndio wale wale watawaambia umefuzu ila tuma 20000tsh hapa tumpoze boss ukishatuma tu imekula kwako hamna cha kaz wala nn...nakushauri mkuu katafute kaz ya halali ufanye upate hela ushafel ww..
km kweli ww unataka kusaidia watu kasaidie kwanza ndg zako huko...huu utaperi sio eti umetoa contact km kwel ww unatoa kaz mbn hujatangaza waje ofisin kwako...!waelekeze hapo ofic yako ipo wapi waje sio unatoa minamba yako ya sim ulioisajil kifake fake..atakayekusikiliza na comedian zako hana njaa
Usichokijua ni vyema ukauliza.. nilitangaza hapa nafasi kama hii December .. Binti alipatikana yuko VODACOM desks ya mbezi kwa msuguri anapiga kazi..Mmmhhh...inshort voda hawa ajiri hvyo ,lazma uptie recrt agent ndo upate kaz kwny hzo desk zao.