Mikoa mingi hili zoezi limeshapita nadhani mikoa iliyobaki ni michache sana ukiwepo na DSM na matangazo yake yanatolewa kwa majimbo na maombi yanapitia katika kata unayotaka kufanyia bt kwa hlo jiji lenu la DSM connection ni muhimu sana japokuwa ni kazi ya week.
Hizo ishu huw zinafanyika mkoa kwa mkoa mimi niliomba kipnd niko lindi nikakosa ila mshkaji wang alipata so jitahidin kupeleka msombi kila mtu na bahati yake