benja JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 331 Reaction score 230 Jan 7, 2014 #1 Wadau Utumishi haijatangaza kazi za mawizarani kwa mda mrefu sasa hii inaweza kua imesababishwa na nn? Na ni kipindi gani basi kazi hizo za kada mbalimbali zinaweza kutangazwa.
Wadau Utumishi haijatangaza kazi za mawizarani kwa mda mrefu sasa hii inaweza kua imesababishwa na nn? Na ni kipindi gani basi kazi hizo za kada mbalimbali zinaweza kutangazwa.
Gogadi Senior Member Joined Nov 15, 2012 Posts 121 Reaction score 16 Jan 7, 2014 #2 Hawajastaafu bado