Cjawahi kuona serikali ya kijinga na kipuuzi kama hii ya Tanzania, yaani shule zimefunguliwa wanafunzi wanalia hawana waalimu na wakati waalimu wamejaa mitaani hawana ajira. Only in Tanzania!
Itakuwa wanasubiri kuwasiliana na wahisani si unajua bajeti za kwenye makaratasi na marekani ndo hiyo ilikuwa kwenye uchaguzi! hapo watatoa wiki moja wanakwambia ukaripoti ndani ya siku saba ulikopangiwa Lindi na uko Mwanza hadi upate nauli shughuli
Cjawahi kuona serikali ya kijinga na kipuuzi kama hii ya Tanzania, yaani shule zimefunguliwa wanafunzi wanalia hawana waalimu na wakati waalimu wamejaa mitaani hawana ajira. Only in Tanzania!
Cjawahi kuona serikali ya kijinga na kipuuzi kama hii ya Tanzania, yaani shule zimefunguliwa wanafunzi wanalia hawana waalimu na wakati waalimu wamejaa mitaani hawana ajira. Only in Tanzania!
Cjawahi kuona serikali ya kijinga na kipuuzi kama hii ya Tanzania, yaani shule zimefunguliwa wanafunzi wanalia hawana waalimu na wakati waalimu wamejaa mitaani hawana ajira. Only in Tanzania!
Leo nilisikia kwa mbali kwenye uchambuzi magazeti ila sijaipata vyema kuwa walimu wapya wameajiriwa ila bado kuna uhaba wa walimu 140,000 hivi. hatahivyo, mwenye info za kuaminika zaidi atujeze. Jf ni jumba la kila kitu
Komaeni tu ajira ztaendelea kuwapo na leo Mtanzania wametangaza ila uhaba hautakoma kwani kuna Shule zenye walimu wanaokaa tu! Mfano mzuri Kigoma Sekondari iliyoko Kigoma ina Waalimu wengi tu ambao wanastahili kwenda kufundisha form 1-4 mana shule ina A-Level tu lkn ni zaidi ya miaka 4 wapo tu hawana kazi wakati kuna shule hakuna walimu. Mulugo a.K.a Amin wizara yenu ina kazi ya ziada.