MITOCHONDRIA
Senior Member
- Feb 21, 2013
- 147
- 34
hii wizara madudu mengi!hata post za masomo walizingua hivi hivi hawa jamaa
Mkuu mitochondria tupo pamoja kwenye hilo janga la kisubiri kibali cha ajira moh....manake kuna watu tumemaliza intern tangu october mwaka jana mpaka leo tupo mtaani wakati wao wanalalamika uhaba wa wafanyakazi...this can only happen in Tanzania...ukienda kuwauliza hapo wizarani wanasema wamepeleka maombi ya kuajiri utumishi wanasubiria majibu....mbaya zaidi hints za bajeti ya mwaka huu 2013/2014 haionyeshi kama afya ipo kwenye vipaumbele vya hiyo bajeti.....sijui kama tuyafika kwa mwendo huu.
mkuu mitochondria tupo pamoja kwenye hilo janga la kisubiri kibali cha ajira moh....manake kuna watu tumemaliza intern tangu october mwaka jana mpaka leo tupo mtaani wakati wao wanalalamika uhaba wa wafanyakazi...this can only happen in tanzania...ukienda kuwauliza hapo wizarani wanasema wamepeleka maombi ya kuajiri utumishi wanasubiria majibu....mbaya zaidi hints za bajeti ya mwaka huu 2013/2014 haionyeshi kama afya ipo kwenye vipaumbele vya hiyo bajeti.....sijui kama tuyafika kwa mwendo huu.
kila wilaya/taasisi imeshapewa idadi ya ajira katika sekta ya afya watakazo ajiri 2013/2014,nafasi za kuajili zilizotolewa ni chache sana kulinganisha na mwaka jana.
Kinashosubilwa ni fungu/fedha kutoka hazina kuu,imesemekana serikali ina ukata mkubwa wa fedha.
Kama wewe ni daktari umemeliza intern yako,mbona una uwanja mpana wa ajira,kwa sasa usibague ajira,fanya ata tutorial assistant kuna medical school nyingi na zinatafuta watu(udom,muhas,bugandouniversity,kcmc) salary zao sio mbaya.
Then ukishapata subiri ajira za serikali kama ni choice yako ukiwaumerelax.
kuna ajira nkasi mko tayari kwendaa?
ha ha vijana tulishindwa kuungana kwa pamoja kipidni cha mgomo kupiganian maslahi ikiwemo kubadili hzi system mbovu za kukalisha intern mtaani baada ya internship wengine mkakimbili kurudi kazini na wengine tukaambulia kifungi cha kiezi nane ..sasa hvi mnakuja hapa kulalamika ...na mimi hapo naona bado sana k na wataendelea kuwaoneeni hadi muone nchi hii chungu...
Hivi hapo wizara ya afya kuna nini, mbona wao ndio peke yao hawajapewa kibali cha kuajiri, na hicho kibali wanapewa lini, mana tumeona utumishi wametoa ajira, wizara ya elimu pia. Vp hawa wenzetu au wanajiajili kwanza zitakazobaki ndio watuletee akin yahe tugombanie. Naomba kuwasilisha
Poleni sana, njoo bugando wanaajiri.hawatoagi tangazo.unajileta mwenyewe kwa mkurugenzi wa hospitalinashukuru sana mkuu dan geoff pkwa kuniliwaza, kwamba siko peke yangu. Hata mm tangu november mwaka jana nimemaliza intern, nishakwenda mara kibao wizarani wimbo ule ule wa kibali. Hicho kibali moh kinatofauti sana hivi vingine. Mbon, vingine vinatoka. Kama afya sio kipaumbele hakuna noma watambana sana hizo millenium development goal " reduction of maternal mortality rate"
mkuu, id yako inanikumbusha mambo ya loong time. Ndugu zako cytoplasm, golgi na wenzao hawajambo?