wakuu habari ya wakati huu.
naomba kwa yeyote mwenye uzoefu au elimu kuhusu utengenezaji wa sabuni ya mche anidadavulie hapa.
pia je, Ajira hii inafaida kiasi gani . inalipa au malighafi zake ni ghali sana hivyo kufanya kuwa kiwanda chenye kuzalisha hasara kuliko faida.
Asanteni . nangoja maoni, ushauri na mawazo yenu enyi wajasiriamali wenzangu.