Ajira upande wa afya

Ajira upande wa afya

Chite Di Herrera

New Member
Joined
Jul 7, 2015
Posts
1
Reaction score
0
nimemaliza nursing ya mwaka mmoja mwezi uliopita,kwa iyo naulizia kama serikali imeshatangaza ajira upande wa afya mwaka huu na unaombaje...asanteni....!
 
umesoma chuo gani??naomba kujuzwa mpendwa naitaji kusomea
 
Wakuu hivyo vyuo wanavyosomea afya ya mwaka mmoja ni vingi sana kama VP nitafute p.m
 
Back
Top Bottom