Assistant Researcher Consolatha Consultants ( Tz ) LTD. Date Listed: Oct 8, 2012 Email Address: Click to Email Phone: +255 712 224 139 Area: Dar Es Salaam Application Deadline: Oct 16, 2012 Start Date: Nov 01, 2012
Position Description:
Anahitajika ASSISTANT RESEACHER mwenye sifa zifuatazo : 1. Awe wa jinsia ya KIKE mwenye umri wa miaka 20 hadi 45. 2. Elimu Ya Kidato Cha Sita na kuendelea. 3. Uwezo wa kuwasiliana kwa ufasaha kwa lugha za kiswahili na kiingereza. 4. Awe amewahi kuwa katika mahusiano ya kimapenzi ya jinsia moja na kupatwa na madhara AU 5. Awe mwanamke ambaye yupo ndani ya mahusiano ya jinsia moja, yupo addicted na mahusiano ya jinsia moja na anatamani sana kuondokana na tabia hiyo ila anashindwa. 5. Awe tayari kusafiri sehemu yoyote Tanzania.
Labda wanahitaji kufanya research kuhusiana na mapenzi ya jinsia moja, ndio maana wakahitaji mtu ambae ameshajihusisha na mapenzi hayo ili kurahisisha upatikanaji wa data .