ni kweli unachosema,ila sasa tukirud kijijin tukalima bustan hizo mboga tutawauzia nani?maan kila mtu kijijini analimaKuna Vijana wenzangu wengi wanalaamika haswa kuwa Ajira Ajira ni shida, kiukweli hali ni Mbaya saana kwa upande wa ajira husani za vyeti hizi. Lakini usiogope kufanyahaya:
-Weka Vyeti pembeni ingia mtaani kwa namnanyingine. Binafsi nilivyohitimu chuo, nilikuwa nahali Mbaya zaidi yamaelezo, hata kupata shilingi mia kwa siku ilikuwa ndoto nawakati huo nipo tu na kagetho kangu hata kodi nashukuru Jamaa mwenye nyumba tulikuwa tunafahamiana hiyo alinivumilia saana, takribani miezi mitano sijalipa pango, mpakaaibu. Lakini nilivyojichanganyana wadau, nikawa nafanyakazi ya kuwauzia nguo jamaa fulani hivi nanikawa napewa buku au buku mbili, amini usiamini zilikuwa zinanivusha ikiwa ni pamoja na kufanyiaapplication za kazi.Ikafikakipini nikapata mtaji kama wa wa elfu 60 hivi, nikaanza kupambana kivyangu, nikarudi kwa mwenye nyumba kulipa deni. Nimeenda hivyo mpaka nikazoea, baadaye nikapatakazi, ila najuuta na kusema ningeenda vile vile ningekuwa mbali, na nina mpango wa kurudi na ili nijiajiri.
Kiukweli kazi za serikali hizi ni utumwa wa hali ya juu. Tafadhali msiumie saana kung'ang'anana kuajiriwa, panga kujiajiri. Utumwa huu.
-Pili kama kuna uwezekano, rudini vijijini nakuazisha hata bustani za Mboga ama Matunda, kiukweli zinalipa. Tautamaeneo ambayo haya bidhaa hizo kwa wingi.
-Mwisho, Kama unataka kupa kazi jenga mtandao hata kwa mliyosoma wote, wanaweza kukusaidia. Kumbaka hatuko sawa hata siku moja.
Zingatia hayo yaakusaidia.
Kabisa yanini kweli unachosema,ila sasa tukirud kijijin tukalima bustan hizo mboga tutawauzia nani?maan kila mtu kijijini analima
Binafsi naamini ningekuwa bado nafanya shughuli zangu zile za awali ningekuwa mbali saana. Kwasasa nimekuwa mtumwa tu, unajua huwa tunajuta baada ya kushiriki. Amini nakwambia, kuajiriwa kuzuri kwa mtu usiyena malengo makubwa ila kama unataka kufika mbali, achana na Mawazo ya kuajiriwa.mkuu sijui kama watu watakuelewa vizuri maana ulipanga staement zako vizuri mwanzoni lkn ukabadili fikra za watu ulivyosema niliajiliwa halafu najipanga kuacha ajira ndo urudi kujiajiri. kama unaona kujiajiri bila kijipanga ni rahisi hebu jaribu kuacha kazi kazi yako hiyo hata kesho halafu uende ukalime mchicha kama hautaikumbuka kazi yako hiyo ambayo unasema haifai. mkuu nakuhakikishia tanzania hii suala la kuijiajiri ukiwa tupu kabisa bila hata mia theni ukafanikiwa ujue wewe ulikuwa na nyota yako tu ya asili ambayo mungu alikupangia katika maisha yako. kwa TZ hakuna miundombinu sahihi inayonfeva mjasiriamali ili ajiajili na akafanikiwa. fikira financial institutions zilizopo zote zina masharti magumu ambayo kwa mtu anaenza kujiajiri hawezi kumudu, serikari yetu ndo imelala kabisa na wala haifikirii njia mbadala ya kuwakwamua waliokwama kupata ajira.
Mkuu haujatuelewa, hatusemi unapotosha oh no! Ila tunakuonesha changamoto zilizoko kwenye kujiajiri. Yaani maisha siyo bwerereee!Binafsi naamini ningekuwa bado nafanya shughuli zangu zile za awali ningekuwa mbali saana. Kwasasa nimekuwa mtumwa tu, unajua huwa tunajuta baada ya kushiriki. Amini nakwambia, kuajiriwa kuzuri kwa mtu usiyena malengo makubwa ila kama unataka kufika mbali, achana na Mawazo ya kuajiriwa.
Tatizo kubwa la Wasomi wa Tanzania huwa tunaogopa Risk na ndicho kinatufanya kuwa watu wa kupata mali kwa ajili ya kujikimu tu, ukikumbwa na tatizo unapoteza mwelekeo mazima. Tubadilishe mentality zetu, Inatakiwa kuthubutu.
Sasa kwanini usiache kazi kama ni utumwa? Nawe pia uende kijijiniKuna Vijana wenzangu wengi wanalaamika haswa kuwa Ajira Ajira ni shida, kiukweli hali ni Mbaya saana kwa upande wa ajira husani za vyeti hizi. Lakini usiogope kufanyahaya: