Ajira Tanzania ni kitendawili, fanya haya ukitaka usifedheheke bure

Ndikwega

R I P
Feb 1, 2012
5,979
5,524
Kuna Vijana wenzangu wengi wanalaamika haswa kuwa Ajira Ajira ni shida, kiukweli hali ni Mbaya saana kwa upande wa ajira husani za vyeti hizi. Lakini usiogope kufanyahaya:

-Weka Vyeti pembeni ingia mtaani kwa namnanyingine. Binafsi nilivyohitimu chuo, nilikuwa nahali Mbaya zaidi yamaelezo, hata kupata shilingi mia kwa siku ilikuwa ndoto nawakati huo nipo tu na kagetho kangu hata kodi nashukuru Jamaa mwenye nyumba tulikuwa tunafahamiana hiyo alinivumilia saana, takribani miezi mitano sijalipa pango, mpakaaibu. Lakini nilivyojichanganyana wadau, nikawa nafanyakazi ya kuwauzia nguo jamaa fulani hivi nanikawa napewa buku au buku mbili, amini usiamini zilikuwa zinanivusha ikiwa ni pamoja na kufanyiaapplication za kazi.Ikafikakipini nikapata mtaji kama wa wa elfu 60 hivi, nikaanza kupambana kivyangu, nikarudi kwa mwenye nyumba kulipa deni. Nimeenda hivyo mpaka nikazoea, baadaye nikapatakazi, ila najuuta na kusema ningeenda vile vile ningekuwa mbali, na nina mpango wa kurudi na ili nijiajiri.
Kiukweli kazi za serikali hizi ni utumwa wa hali ya juu. Tafadhali msiumie saana kung'ang'anana kuajiriwa, panga kujiajiri. Utumwa huu.

-Pili kama kuna uwezekano, rudini vijijini nakuazisha hata bustani za Mboga ama Matunda, kiukweli zinalipa. Tautamaeneo ambayo haya bidhaa hizo kwa wingi.

-Mwisho, Kama unataka kupa kazi jenga mtandao hata kwa mliyosoma wote, wanaweza kukusaidia. Kumbaka hatuko sawa hata siku moja.

Zingatia hayo yaakusaidia.
 
ni kweli unachosema,ila sasa tukirud kijijin tukalima bustan hizo mboga tutawauzia nani?maan kila mtu kijijini analima
 
Sidhani kama kweli kila mmoja analima bustani huko kijijini. Nakuhakikishia moja ya shida kubwa maeneo mengi ni Mboga za majani, fanya utafiti utakuja kuniambia haya. Wasomi wengi hususani wa Tanzania tatizo letu ni waoga wa kujaribu.
 
Ingekuwa kujuajiri ni rahisi sana wewe usingeajiriwa!

Sema tu nakuunga mkono kuhusu wahitimu kutobweteka huku wakisubiri ajira. Wajishughulishe
Nimepitia huko ndugu, na naona huku napoteza wakati tu, na najipanga kufanya hivyo muda wowote.
 
mkuu sijui kama watu watakuelewa vizuri maana ulipanga staement zako vizuri mwanzoni lkn ukabadili fikra za watu ulivyosema niliajiliwa halafu najipanga kuacha ajira ndo urudi kujiajiri. kama unaona kujiajiri bila kijipanga ni rahisi hebu jaribu kuacha kazi kazi yako hiyo hata kesho halafu uende ukalime mchicha kama hautaikumbuka kazi yako hiyo ambayo unasema haifai. mkuu nakuhakikishia tanzania hii suala la kuijiajiri ukiwa tupu kabisa bila hata mia theni ukafanikiwa ujue wewe ulikuwa na nyota yako tu ya asili ambayo mungu alikupangia katika maisha yako. kwa TZ hakuna miundombinu sahihi inayonfeva mjasiriamali ili ajiajili na akafanikiwa. fikira financial institutions zilizopo zote zina masharti magumu ambayo kwa mtu anaenza kujiajiri hawezi kumudu, serikari yetu ndo imelala kabisa na wala haifikirii njia mbadala ya kuwakwamua waliokwama kupata ajira.
 
Binafsi naamini ningekuwa bado nafanya shughuli zangu zile za awali ningekuwa mbali saana. Kwasasa nimekuwa mtumwa tu, unajua huwa tunajuta baada ya kushiriki. Amini nakwambia, kuajiriwa kuzuri kwa mtu usiyena malengo makubwa ila kama unataka kufika mbali, achana na Mawazo ya kuajiriwa.
Tatizo kubwa la Wasomi wa Tanzania huwa tunaogopa Risk na ndicho kinatufanya kuwa watu wa kupata mali kwa ajili ya kujikimu tu, ukikumbwa na tatizo unapoteza mwelekeo mazima. Tubadilishe mentality zetu, Inatakiwa kuthubutu.
 
Kujiajiri kunalipa sana sema uoga Wa MTU Tu nakujifanya matawi
Napenda kujiajiri
Nimejiajiri
Mambo ya kazi mpka Uvuliwe nyupi
 
Waambie wanaoona nawapotosha mkuu. Watanzania wengi tuliyowengi ni waoga wa kuthubutu.
 
Wakuu kujiajiri kwa mwanzoni ni ngumu yaani unajiona uko jehanam... kibaya ni kama wewe ni msomi. Ukiwa msomi zile attitude za kuwa smart muda wote na kuishi maisha flani classic hata kama unaumia ndani kwa ndani pia zinafanya wengi kuogopa kujiajiri. Tatizo kubwa sio mtaji au taasisi za kifedha, ni waTZ kuwa na ile mentality ya tokea utotoni kuwa kuajiriwa ndo kupatia maisha hivyo kutokuwa na commitment wala uvumilivu wowote. Ninawasihi vijana wote tuliojiajiri tukaze buti zaidi Mungu atatusaidia na tutakuwa huru kifedha. Tanzania bado ina fursa nyingi sana kiasi kwamba mambo mengi bado hayajaanza kufanyiwa kazi. Mungu awatangulie
 
Binafsi naamini ningekuwa bado nafanya shughuli zangu zile za awali ningekuwa mbali saana. Kwasasa nimekuwa mtumwa tu, unajua huwa tunajuta baada ya kushiriki. Amini nakwambia, kuajiriwa kuzuri kwa mtu usiyena malengo makubwa ila kama unataka kufika mbali, achana na Mawazo ya kuajiriwa.
Tatizo kubwa la Wasomi wa Tanzania huwa tunaogopa Risk na ndicho kinatufanya kuwa watu wa kupata mali kwa ajili ya kujikimu tu, ukikumbwa na tatizo unapoteza mwelekeo mazima. Tubadilishe mentality zetu, Inatakiwa kuthubutu.
Mkuu haujatuelewa, hatusemi unapotosha oh no! Ila tunakuonesha changamoto zilizoko kwenye kujiajiri. Yaani maisha siyo bwerereee!

Kama wewe unavyosita kuacha kazi hii uliyonayo licha ya kwamba ulishaonja matunda ya kujiajiri, ndo sababu hiyo hiyo ambayo wengine wanayo. Ukisema nafanya kidogo then baada ya muda nisepe na wenzio wanawaza hivo hivo!
 
Kuna Vijana wenzangu wengi wanalaamika haswa kuwa Ajira Ajira ni shida, kiukweli hali ni Mbaya saana kwa upande wa ajira husani za vyeti hizi. Lakini usiogope kufanyahaya:

-Weka Vyeti pembeni ingia mtaani kwa namnanyingine. Binafsi nilivyohitimu chuo, nilikuwa nahali Mbaya zaidi yamaelezo, hata kupata shilingi mia kwa siku ilikuwa ndoto nawakati huo nipo tu na kagetho kangu hata kodi nashukuru Jamaa mwenye nyumba tulikuwa tunafahamiana hiyo alinivumilia saana, takribani miezi mitano sijalipa pango, mpakaaibu. Lakini nilivyojichanganyana wadau, nikawa nafanyakazi ya kuwauzia nguo jamaa fulani hivi nanikawa napewa buku au buku mbili, amini usiamini zilikuwa zinanivusha ikiwa ni pamoja na kufanyiaapplication za kazi.Ikafikakipini nikapata mtaji kama wa wa elfu 60 hivi, nikaanza kupambana kivyangu, nikarudi kwa mwenye nyumba kulipa deni. Nimeenda hivyo mpaka nikazoea, baadaye nikapatakazi, ila najuuta na kusema ningeenda vile vile ningekuwa mbali, na nina mpango wa kurudi na ili nijiajiri.
Kiukweli kazi za serikali hizi ni utumwa wa hali ya juu. Tafadhali msiumie saana kung'ang'anana kuajiriwa, panga kujiajiri. Utumwa huu.

-Pili kama kuna uwezekano, rudini vijijini nakuazisha hata bustani za Mboga ama Matunda, kiukweli zinalipa. Tautamaeneo ambayo haya bidhaa hizo kwa wingi.

-Mwisho, Kama unataka kupa kazi jenga mtandao hata kwa mliyosoma wote, wanaweza kukusaidia. Kumbaka hatuko sawa hata siku moja.

Zingatia hayo yaakusaidia.
Sasa kwanini usiache kazi kama ni utumwa? Nawe pia uende kijijini
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom