Ndikwega
R I P
- Feb 1, 2012
- 5,979
- 5,527
Kuna Vijana wenzangu wengi wanalaamika haswa kuwa Ajira Ajira ni shida, kiukweli hali ni Mbaya saana kwa upande wa ajira husani za vyeti hizi. Lakini usiogope kufanyahaya:
-Weka Vyeti pembeni ingia mtaani kwa namnanyingine. Binafsi nilivyohitimu chuo, nilikuwa nahali Mbaya zaidi yamaelezo, hata kupata shilingi mia kwa siku ilikuwa ndoto nawakati huo nipo tu na kagetho kangu hata kodi nashukuru Jamaa mwenye nyumba tulikuwa tunafahamiana hiyo alinivumilia saana, takribani miezi mitano sijalipa pango, mpakaaibu. Lakini nilivyojichanganyana wadau, nikawa nafanyakazi ya kuwauzia nguo jamaa fulani hivi nanikawa napewa buku au buku mbili, amini usiamini zilikuwa zinanivusha ikiwa ni pamoja na kufanyiaapplication za kazi.Ikafikakipini nikapata mtaji kama wa wa elfu 60 hivi, nikaanza kupambana kivyangu, nikarudi kwa mwenye nyumba kulipa deni. Nimeenda hivyo mpaka nikazoea, baadaye nikapatakazi, ila najuuta na kusema ningeenda vile vile ningekuwa mbali, na nina mpango wa kurudi na ili nijiajiri.
Kiukweli kazi za serikali hizi ni utumwa wa hali ya juu. Tafadhali msiumie saana kung'ang'anana kuajiriwa, panga kujiajiri. Utumwa huu.
-Pili kama kuna uwezekano, rudini vijijini nakuazisha hata bustani za Mboga ama Matunda, kiukweli zinalipa. Tautamaeneo ambayo haya bidhaa hizo kwa wingi.
-Mwisho, Kama unataka kupa kazi jenga mtandao hata kwa mliyosoma wote, wanaweza kukusaidia. Kumbaka hatuko sawa hata siku moja.
Zingatia hayo yaakusaidia.