Ajira Tanzania ni kitendawili, fanya haya ukitaka usifedheheke bure

Sidhani kama kweli kila mmoja analima bustani huko kijijini. Nakuhakikishia moja ya shida kubwa maeneo mengi ni Mboga za majani, fanya utafiti utakuja kuniambia haya. Wasomi wengi hususani wa Tanzania tatizo letu ni waoga wa kujaribu.
kaka, psychologically ni ngumu sana kwa kijana kuuza mboga za majani huku wenzake aliosoma nao wanatoka kazini kwao bank huko wanasimama na Altezza wanamsalimia barabarani kisha wanamuuliza "baba lishe biashara inaendaje leo?"

hakuna kitu kigumu kama kupambana na psychological barrier, hususan kwa sisi vijana
 
Unaenda kujichimbia Mbali. Na Unaweza staajabu wewe ukawa na maisha ya kifahari kuliko wao. Nakikubwa wewe unalima wateja wanafuata wenyewe siyo kuzurura na kapu la Mboga kichwani. Hivyo naamini wewe ndiyo utaonekana una maana kuliko wao.
 
Back
Top Bottom