Ajira: Store Keeper anahitajika

Ajira: Store Keeper anahitajika

Ni Kampuni ya Wachina ipo Mikocheni Dar, wanahitaji Store Keeper. Awe na Working Experience kwenye Store. Kama uko interested na una sifa hizo hapo juu naomba nitumie CV yako kwenye Email hrfbde@gmail.com. Kuwa tayari wakati wowote kwa Usahili. Ahsante sana
Mkuu weka wekaa mbolea kampuni Ina usikaa na Nini?
 
Ni Kampuni ya Wachina ipo Mikocheni Dar, wanahitaji Store Keeper. Awe na Working Experience kwenye Store. Kama uko interested na una sifa hizo hapo juu naomba nitumie CV yako kwenye Email hrfbde@gmail.com. Kuwa tayari wakati wowote kwa Usahili. Ahsante sana
Tazama inbox kwako tayar email imeingia
 
Ni Kampuni ya Wachina ipo Mikocheni Dar, wanahitaji Store Keeper. Awe na Working Experience kwenye Store. Kama uko interested na una sifa hizo hapo juu naomba nitumie CV yako kwenye Email hrfbde@gmail.com. Kuwa tayari wakati wowote kwa Usahili. Ahsante sana
Wanasema wanataka mvulana unge edit kidogo ili wasichana tusiangaike kuomba 😔
 
Back
Top Bottom