Ajira serikalini kwa sasa kimya

Ajira serikalini kwa sasa kimya

Lune

New Member
Joined
Mar 7, 2015
Posts
4
Reaction score
1
Naona mwaka huu ajira zimechelewa sana.. Sijui itakuwaje maana hata za Afya zinazowahi kutoka azieleweki lini zitatoka hatari sana
 
Mjiajiri ,,,endeleeni kusubiri mpaka Magu amalize kukusanya kodi ili mpate mishahara
 
Wanatumbua kwanza majipu ya watumishi hewa maana wapo wengi sana.......!
 
Heshima imerudi kitaa..mwanzoni kila mtu aliluwa na mashauzi na mikogo sa hivi kila mtu anatumia his/ her money more wisely.

Magufuli!
 
Ni hatari brother/sister. Ziko nafasi kibao zilizotangazwa katika Chuo cha Ufundi Arusha. Kuzipata ni lazima wewe au ndugu au mtu wako wa karibu awe karibu na Uongozi wa juu wa Chuo au Mjumbe wa Bodi ya uongozi ya Chuo. Vinginevyo yeyote aliyeomba bila refa nafasi yake kupata ni finyu sana.

Taasisi za umma zimegeuzwa kama za watu binafsi kabisa. Wakubwa wa chuo wanasema Chuo ni chao. Vinginevyo wasingeaminiwa kupewa kukiendesha.
 
Back
Top Bottom