mustaphahamisi
Member
- Sep 4, 2016
- 36
- 21
Non sensesAjira sio kipaumbele cha serikali yetu hii tukufu, ngoja tukishamaliza kuhamia dodoma na kununua ndege ndo tutaangalia ajira, acheni kulalamika vijana chapeni kazi Ili tuwezekwenda sawa na kaulimbiu ya mtukufu raisi ya HAPA KAZI TU!
[emoji23][emoji23][emoji23]Mjiajiri maana tunampango wa kuwapunguza pia na hawa walioajiriwa
Nimepita huku kucheki post zako, asee hakuna update kutoka Tamisemi teh
Nimepita huku kucheki post zako, asee hakuna update kutoka Tamisemi teh
Hadi tufeVp bado hamna updates?
Maana polisi wapya wanalia njaa, ajira mpya hamna.... Hk kubana matumizi mwisho tutakufa njaa!
Hadi tufe
Mabadilikoooo....., mabadiliiikoooo, mabadilikooooo......L.O.W..., Nyie c vijana mlikua hamnikubali....hasa wa vyuo.....MTAISOMA NAMBA SASA..NDO MALIPO YENU HAPAHAPA HAKUNA KUREMBA.tuliichagua wenyewe.
swissme
Vp bado hamna updates?
Maana polisi wapya wanalia njaa, ajira mpya hamna.... Hk kubana matumizi mwisho tutakufa njaa!
Licha ya kuwa naku support ila nyie mafisiem ndo mmeuza mechi kwann hamkututaarifu mapema kwamba jamaa ni FISIMAJI tusimpe kura zetu....kudadeki...YAANI UMEJINYONGA NA KAMBA YAKO MWENYEWE.....NYIE HAMNA TOFAUTI NA YUDA ISCARIOT...serikali itaajiri lini ?mm kada wa ccm najuta watoto wangu hawana ajira wingine wamesimamishwa kazi mwezi wa sita mwaka huu 2016 kupisha zoezi la uhakiki wa watumishi hewa mpaka mda huu wanalia njaa tu nchi hii ngumu wakati rais alisema uhakiki hauzidi.miezi miwili
serikali itaajiri lini ? ...