nkanga chief
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 2,084
- 1,623
Acha tuisome tumeipenda wenyewe
ipiMbona kila siku statement ni hio hio tu???
Nimepita huku kucheki post zako, asee hakuna update kutoka Tamisemi teh
[emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] goja aje jaffo na waongo wenzakeNimepita huku kucheki post zako, asee hakuna update kutoka Tamisemi teh
Ha ha ha hata taarifa ya uongo tu ya kututia moyo inatosha[emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] goja aje jaffo na waongo wenzake
Povu lote ilo la nn ndugu?hatuna cha kuwalipa tutawaajiri vipi jamani kama bure njooni juma tatu na vyeti halisi secretariat ya ajira.