Frank Sosthenes
New Member
- Jun 3, 2018
- 4
- 4
Taasisi ganNdugu zangu napenda kujua hivi inakuwaje kwenye mfumo wa ajira portal nilifanya application nikawa shortlisted nkaenda written na oral nikaenda sasa ile application nilifanya sahivi kwenye ajira portal haionekani tatizo ni nini hapo.. Wakati ndo muda wa kusubiri matokeo kama nitapangiwa kazi au laa
Ndugu zangu napenda kujua hivi inakuwaje kwenye mfumo wa ajira portal nilifanya application nikawa shortlisted nkaenda written na oral nikaenda sasa ile application nilifanya sahivi kwenye ajira portal haionekani tatizo ni nini hapo.. Wakati ndo muda wa kusubiri matokeo kama nitapangiwa kazi au laa
Sawa, hongera, matokeo ya usaili wa mahojiano huwa hayawekwi kwenye akaunti ya msailiwa, hutolewa tangazo la kuitwa kazini kwenye tovuti ya sekretarieti, hivyo tembelea tovuti mara kwa maraWakati ndo muda wa kusubiri matokeo kama nitapangiwa kazi au laa
Nyongeza....!! Kwenye Account ya Msailiwa kitakachoonekana ni status ya SHORTLISTED FOR ORAL, ukiona status hii ipo kwa muda mrefu na ulisha fanya Usaili wa Mazungumzo basi jiandae kuripoti kazini.Sawa, hongera, matokeo ya usaili wa mahojiano huwa hayawekwi kwenye akaunti ya msailiwa, hutolewa tangazo la kuitwa kazini kwenye tovuti ya sekretarieti, hivyo tembelea tovuti mara kwa mara
Samahan mkuu unaeza fafanua vizuri hapaNyongeza....!! Kwenye Account ya Msailiwa kitakachoonekana ni status ya SHORTLISTED FOR ORAL, ukiona status hii ipo kwa muda mrefu na ulisha fanya Usaili wa Mazungumzo basi jiandae kuripoti kazini.
Nakama ulisha fanya usaili wa Mazungumzo status ikawa NOT SHORTLISTED FOR ORAL, basi tujipanfe kwa saili zijazo.
Ahsante.
Wapi hapajaeleweka Mkuu.Samahan mkuu unaeza fafanua vizuri hapa
Mkuu mbona wanasema status kwenye web Huwa haibadilikiWapi hapajaeleweka Mkuu.
Tupe experience mkuu πMmenikumbusha enzi za baba Jane bye bye π
Ukiitwa Written ukapata Pass Marks za kwenda Oral status ina change itasoma " SELECTED FOR ORAL" ukifanya oral then status ikabakii "SELECTED FOR ORAL" uwezekano wa kuwa umefaulu oral ni mkubwa, na itabaki hivyoo hadi siku utakayo report kwenye kituo chako cha kazi.Mkuu mbona wanasema status kwenye web Huwa haibadiliki
Shukrani kwa ufafanuzi mkuu ngoja tuendelee kusubiriUkiitwa Written ukapata Pass Marks za kwenda Oral status ina change itasoma " SELECTED FOR ORAL" ukifanya oral then status ikabakii "SELECTED FOR ORAL" uwezekano wa kuwa umefaulu oral ni mkubwa, na itabaki hivyoo hadi siku utakayo report kwenye kituo chako cha kazi.
Ahsante.
BLACKLIST 12 Natumaini hapa tupo pamoja Mkuu.Ukiitwa Written ukapata Pass Marks za kwenda Oral status ina change itasoma " SELECTED FOR ORAL" ukifanya oral then status ikabakii "SELECTED FOR ORAL" uwezekano wa kuwa umefaulu oral ni mkubwa, na itabaki hivyoo hadi siku utakayo report kwenye kituo chako cha kazi.
Ahsante.
Kila la Kheri Mkuu.Shukrani kwa ufafanuzi mkuu ngoja tuendelee kusubiri
Status baada ya oral huwa inabadilika muda gani baada ya kufanya oral interviewWapi hapajaeleweka Mkuu.
Ameen mkuu ππKila la Kheri Mkuu.