Ajira portal

Ajira portal

sekion27

Member
Joined
Jul 25, 2021
Posts
56
Reaction score
37
Kuna kuitwa kweli kwenye interview au ndiyo tuendelee na mambo yetu kama tokea mwezi wa 4 hujaitwa na sasa hivi ni 11, si bora hiyo system ifutwe tu watu tufanye mambo yetu?

Kuliko kila week au mwezi unaangalia kitu ambacho hakipo kwenye mfumo, ni udanganyifu.

.
Screenshot_20221105-010222.jpg
Screenshot_20221105-010632.jpg
 
Muda mrefu sana! Yaani kwa muda huo mimba inatungwa hadi mtoto anazaliwa
 
Kuna kuitwa kweli kwenye interview au ndiyo tuendelee na mambo yetu kama tokea mwezi wa 4 hujaitwa na sasa hivi ni 11, si bora hiyo system ifutwe tu watu tufanye mambo yetu? Kuliko kila week au mwezi unaangalia kitu ambacho hakipo kwenye mfumo, ni udanganyifu.

.View attachment 2407074View attachment 2407075
unapata kazi private sector, unafukuzwa bado ajira portal iko vile vile
 
Hii ishu kumbe inakuwaga kweli? Aisee bora nitafute ishu nyengine kama ww tokea mwezi wa 4 jee sisi wengine tunaosubiria tokea mwezi wa 7?
 
So nyie mkishaapply kazi hamuendelei na mambo mengine
 
Tunaendelea we unafikiri tungeishije ?sema uko kuaply ndo kama kupoteza mda Bora kuendelea na kufanya mengine
 
Hizo kazi hawawezi kuita watu Usaili.. Ila unaweza kuwapigia kupitia namba za maulizo au malalamiko ukawauluza.

But frankly hawafanyi poa kabisa.. yaan mtu anaandaa nauli ya kwenda Usaili Hadi anakula yote nafasi haziitwi
 
Ila Watanzania inabidi tujue kuwa madudu kwenye nchi hii hayapo HESLB tu,, hatu huko PSRS Nako Kuna madudu na taasisi nyingi za Serikali...So tufanye mambo yetu tu tuwaachie wafaidi wenyewe waloshika mpini
 
Nani wa kusikiliza malalamiko ya vijana wasio na ajira 😫🤦‍♂️
 
Kuna kuitwa kweli kwenye interview au ndiyo tuendelee na mambo yetu kama tokea mwezi wa 4 hujaitwa na sasa hivi ni 11, si bora hiyo system ifutwe tu watu tufanye mambo yetu? Kuliko kila week au mwezi unaangalia kitu ambacho hakipo kwenye mfumo, ni udanganyifu.

.View attachment 2407074View attachment 2407075
Kwanza mjomba apo kwenye TRA kama ulisoma maelekezo yao vizuri walisema uombe kaz moja kati ya izo mbili hata kama unavyo vigezo vya kuomba zote
 
Kwanza mjomba apo kwenye TRA kama ulisoma maelekezo yao vizuri walisema uombe kaz moja kati ya izo mbili hata kama unavyo vigezo vya kuomba zote
Sawa sio mbaya hao wengine walioomba moja tayri washaitwa
 
Back
Top Bottom