Christopher Brighton
Member
- Jun 14, 2017
- 10
- 3
Umenielewa maswali yangu?Bado zinfanyiwa KAZI
Kuna huo mrejesho hapo wa utumishi...mbali na statusHapana...taarifa zimeenda ukitaka kuhakikisha nenda kwenye my application utaona maombi yako yakiwa na status ya in progressive
Wewe ndo huelewi, kama hujawa notified hiyo screen shot imetoka wapi?Umenielewa maswali yangu?
Swali ndo linaangukia hapo ...iyo notification kwa kawaida hutumwa kipindi gani?,maana hiyo iliwai kutumwa usaili ulishapita..ndo ninahitaji Mwenye uelewa wa hawa watu kutuma notification kama hizo ndugu...Wewe ndo huelewi, kama hujawa notified hiyo screen shot imetoka wapi?
Nami pia hivyo hivyo nashangaaSwali zuri. Maana linanihusu pia.
Nami nilitumiwa email za kujulishwa kuwa maombi yamepokelewa mara tatu tofauti kwa kampuni tatu tofauti nilizowahi kuomba.
Baada ya hapo ukafata ukimya mrefu hadi nashangaa.