DAUDI S KIPANDE
Member
- Aug 17, 2017
- 45
- 17
Kwa muda wa siku tatu kuapload profile picture tu imekua ngumu, wanasema ishu ni mtandao, nimeamka saa 7 usiku kuapload, imekua ngumu pia.
Tuliza munkari kijana unakimbilia wapi? Hapo hujawa hata short listed ushaanza kua na wenge interview utaweza kweli ?kwa muda wa siku tatu kuaproad profile picture tu imekua ngumu, wanasema ishu ni mtandao, nimeamka saa 7 usiku kuapload , imekua ngumu pia
Kuwa serious nenda stationary usaidiwe kwa haraka mkuu.kwa muda wa siku tatu kuaproad profile picture tu imekua ngumu, wanasema ishu ni mtandao, nimeamka saa 7 usiku kuapload , imekua ngumu pia
Shida hata sio stationary weng hawajui kucheza na simu zao pia setting za chromeKuwa serious nenda stationary usaidiwe kwa haraka mkuu.
Yes ila Subilia lolote linaweza kutokea niliwahi piga simu wakaniambia ukitaka ku edit information, edit before deadline kwa upande wangu sikuwa shortlistedSorry nilituma maombi ya kazi UDSM ila wakati natuma sikuwa nimeweka profile picha, nimeweka picha deadline imeshapita, je? Kunaweza kukawa na shida na kusababisha nisiwe shortlisted. Msaada wadau![]()
Hakuna Shida.... Kuwa na Amani.Sorry nilituma maombi ya kazi UDSM ila wakati natuma sikuwa nimeweka profile picha, nimeweka picha deadline imeshapita, je? Kunaweza kukawa na shida na kusababisha nisiwe shortlisted. Msaada wadau![]()