Ajira na tenda

Ajira na tenda

Dr kwalu

Member
Joined
Jul 23, 2017
Posts
25
Reaction score
9
Nina fani ya maabra ya binadamu ,, nahtaji kufanya kazi nje ya nchi ,, Kenya , na nchi zingine .napenda kufahamu utaratibu ukoje kwenda nje kpga kazi
 
Kwa nini usingetafuta utaratibu kwanza, kabla ya kutafuta kazi?
 
OK ,vzr ndgu ,, unaweza nifahamisha zaidi ya kupata huo utaratibu
 
My experience nmefany Benjamin mkapa hospital, Kinga referral hospital, shinyanga regional referral hospital, UDOM hospital
 
Back
Top Bottom